FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
 
Tumebeba ubingwa kibabe sana
sio kumvizia mshindani wako apoteze points
Ujanjq ni hivii...Kila mtu ashinde mechi zake
Wanacchiiiiiiiii sema woyooooo[emoji91][emoji91][emoji91]
Aahhaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…