FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
 
Kuna ID zingine bado hazijapata updates ya matokeo hivyo tutegemee kuwaona kwa kuchelewa kidogo
Unakonda Kutokea pande zipi ndugu mjumbe mfaransa mwenzangu?😂

Yanga kiwango chetu kwa sasa ni EPL🔥💚💛💚💛
Screenshot_20230513-175955.jpg
 
Back
Top Bottom