FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Unakonda Kutokea pande zipi ndugu mjumbe mfaransa mwenzangu?πŸ˜‚

Yanga kiwango chetu kwa sasa ni πŸ”₯πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
Kuna yule mwenzako bado yupo chaka huwa haaminigi mpaka aposti Millard Ayo
 
Tuacheni tu tule bata huko zamani tushaumizwa.
SanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Asikwambie mtu Yanga tamuπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’š

Hapa bado Manara hajawapiga KO na lile Domo lake

Mtatuja mwaka huuπŸ”₯πŸ’›πŸ”₯πŸ’›πŸ’š
 
Tuacheni tu tule bata huko zamani tushaumizwa.
SanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Asikwambie mtu Yanga tamuπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’š

Hapa bado Manara hajawapiga KO na lile Domo lake

Mtatuja mwaka huu
 
Yule Dully Sykes mtoto wa humu jukwaani yupo wapi?
Au na ligi ni dhaifu ndio maana leo mabingwa wa nchi wametangaza tena ubingwa wa ishirini na tisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…