Huu sio mwandiko wa mwanasimba.Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
Kabisa hata mimi nimemgundua, wanasimba miandiko yao wanaandikia kwato ila huyu jamaa kaandika kwa mkono.Huu sio mwandiko wa mwanasimba.
Asante sana MkuuSisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
Dodoma walibusu mzinga wa nyukiWalijaribu kujilinganisha. [emoji1787][emoji1787] wakijua tupo nao sawa.
Siri ya mpira wa kasi imewalipa YANGA....
SIMBA kuna kitu cha kujifunza msimu ujao
π€£π€£π€£π€£Hii ndio dawa ya mtoto king'ang'anizi. π€£