joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
28,000azam max natakiwa nilipe bei gan ili nichek mechi hii
Hao wote makali yameisha, wamebaki wanarukarukaKwani key source ya goli zenu tano alikuwa nani? Maana Aziz alikuwa anamaliza kazi ya Mzize.
Kwani unashika nafasi ya ngapi?Hao wote makali yameisha, wamebaki wanarukaruka
Kabisa.....Tutashinda Hii game kwa kishindo kizito.
Kikosi kilichoanza sio cha lele mama.
Hata mashujaa walitumia hizi mbinu....japo walikuwa hawaongozi...ππππYaani wanaongoza lkn bado wanapoteza mda.
Wanaotakiwa kupoteza muda ni wale wasioongoza?Yaani wanaongoza ila bado wanapoteza mda.