FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Haya jamani Mpumelelo ndio hivyo ametoka kaingia Mzize.

Ilikuwa ni mechi yake ya 9 ngoja tumsikilizie mechi ya 10
 
Dube anaruka ruka uwanjani, ni maamuzi sahihi kumuingiza Mzize
 
Oyah! Hiki kibabu😂

566AFA1C-5ABD-4B45-AEC6-91EA05277CEC.jpeg
 
Mwamuzi ana kifaduro, unampaje kadi nyekundu Baca
 
Leo SIKU MBAYA SANA KWA WANAOBETI 🤣🤣🤣😂😂
MAN CITY KASHATANDIKWA Bao la 2
20241102_192533.jpg
 
Wanaotakiwa kupoteza muda ni wale wasioongoza?
Sasa jana nyie mlikuwa mnalamika nini Mashujaa kupoteza mda? Mjue si waelewi mna unafiki mwingi, leo mmepongeza red card ya Bacca,ila ya Dube ukaniambia niachane nayo jana Mashujaa wamepoteza mda mkalalamika,leo nimesema Azam wanapoteza muda ww unaona sawa au kwa kuwa ni Yanga?
 
ILa hawa Azam mijinga tu. Hata ikifungwa sawa.
 
Sasa jana nyie mlikuwa mnalamika nini Mashujaa kupoteza mda? Mjue si waelewi mna unafiki mwingi, leo mmepongeza red card ya Bacca,ila ya Dube ukaniambia niachane nayo jana Mashujaa wamepoteza mda mkalalamika,leo nimesema Azam wanapoteza muda ww unaona sawa au kwa kuwa ni Yanga?
Mkuu upo sawa? Embu relax.
 
Dakika ya 70

Bado 20

Daaah nyingiii
 
Azam FC Kwa namna wanavyocheza, timu ya Yanga isingekuwa pungufu wangefungwa nyingi

Bado sijaelewa hasa Timu ya Azam ina shida gani, they have everything in place 🙌

Dakika 70 Azam 1 Yanga 0
 
Back
Top Bottom