FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Hivi kumbe timu yenye red card kufungwa ni kanuni eh, mbona kuna timu zinashinda au zinasare zikiwa na red card, na azam ilivyokuwa inacheza hovyo leo mkashindwa hata kutumia hiyo nafasi
Yanga ingeshinda mngesema bahasha za GSM
 
Leo nimetazama mpira ila nilichokiona Yanga inafungika .

Azam wamecheza vizuri Ila bado wanafungika pia .

Pengo la kadi nyekundu limeonekana.
 
IMG-20241102-WA0069.jpg
Mwikoooooooooooo nyumaaaaaaaaa
Hahahahaa😂
View attachment 3141671
 
Hao ndio gongowazi.Ukiweka simu ovyo imekwenda.Hii inaitwa double jeopardy kwa lugha ya sheria.Ipi imeuma zaidi kuibiwa simu au kupigwa kimoja?
Vyote vimeniuma sana
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Leo nimetazama mpira ila nilichokiona Yanga inafungika .

Azam wamecheza vizuri Ila bado wanafungika pia .

Pengo la kadi nyekundu limeonekana.

Mzinze jamaa anajua Sana ilibidi wamuanzishe mapema.
 
Yanga bado ni timu bora,kwa namna Azam ilivyo nilitarajia kama Yanga amepata kadi nyekundu basi Azam ifunge magoli mawili na zaidi.
Ila imeonekana kuwa bado ni wadogo sana kwa Yanga licha ya kushinda.
Pia Yanga mbele panaonekana bado hapapo sawa,wanakosa umakini licha ya kutengeneza nafasi nyingi.
Bado Yanga bingwa licha ya hili.
 
Back
Top Bottom