FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
20241125_234316.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
20241126_162311.jpg

20241126_162330.jpg

Dakika ya 5
Mpira Umeanza

Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika 25
Yanga wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 29
Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa kwenye boxi

Dakika ya 34
Al hilal wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 40
Mudathir anafanyiwa madhambi

Dakika ya 45+1
HT: Yanga SC 0-0 Al Hilal
20241126_164829.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 48
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 50
Yanga sC wanapata Kona

Dakika ya 51
Aziz k amekosa hapa

Dakika ya 53
Max anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 55
Aziz k anakosa nafasi ya wazi hapa

Dakika ya 57
Yanga sc wanapata kona

Dakika ya 60
YNG 0-0 HIL

Dakika ya 63
Al hilal wanapata goli

Dakika ya 65
Bacca anakosa nafasi ya wazi

Mabadiliko
Anatako maxi anaingia musonda

Dakika ya 74
YNG 0-1 HIL

Dakika ya 78
Yanga wanafanya mashambulizi

Dakika ya 85
Yanga sc wanakosa sana nafasi za wazi

Dakika ya 90+5
Al hilal wanapata goli la pili

Mpira umeisha FT
 
"Tutafungua milango iliyofungwa"

Shensiiiii.

Kauli mbiu tu imekaa kishirikina

Ndio baadaye TFF muanze unafki wenu kushangaa kuona watu wakibebana kupitia dirishani wakati dalili zote zilionekana tangu mapema ila mkaamua kupuuzia.

Maana yake uongozi wa Yanga mpaka sasa una amini Mpumelelo amelogwa.

Kuna uwezekano huyo Mpumelelo leo akaingia na powerbank kwenye pitch.

Kinachokuja kuniacha njia panda ni pale ambapo sehemu kubwa ya maandalizi ya mechi yamefanyika kwa njia za kijadi zaidi.

Lakini inapotokea mechi imeisha wakiwa wamefungwa, unaona lawama zinaenda tena kwa kocha na technical bench lake.

Kwanini lawama isiende kwa Sangoma?
 
Sangoma yupi😀
 
Ndio tunalipwa au we mgeni humu fatilia ujuwe masta
Leo ilikuwa zamu yangu kuanzisha uzi huu lakini kabla sijatoka kazini wewe umeshauanzisha, je wewe hufanyi kazi? Sasa sis wengine tutaanzisha lini kama mnatuwahi kila gemu? Tuoneeni huruma sisi wanyonge kusudi nasi tupate angalau nafasi moja ya kuanzisha uzi.
 
Nimecheka kwa sauti🤣🤣
Jitahidi uwe unawahi
 
Mkuu ni kuwa na timing tu unaweza kuisemea club yako pendwa mbona mie nafanya kazi na huwa natumia mda wa kuwa free ni usiku
 
Nimecheka kwa sauti🤣🤣
Jitahidi uwe unawahi
Nilikuwa nimeupania kweli kweli !! Sasa ngoja nisubiri mechi ya marudio, siku hiyo sitakwenda kazini nitmpigia bosi wangu kumwambia kuwa nitasingizia kuwa bibi yangu kafariki ninakwenda kwenye msiba huko kijijini kusudi nisiende kazini ili nifanye timing ya haraka sana. Unajua siyo vizuri kuanzisha uzi kabla ya siku yenyewe halafu mimi muda wangu wa kazi umekaa fyongofyongo vile.
 
"Tutafungua milango iliyofungwa"

Shensiiiii.

Kauli mbiu tu imekaa kishirikina

Ndio baadaye TFF muanze unafki wenu kushangaa kuona watu wakibebana kupitia dirishani wakati dalili zote zilionekana tangu mapema ila mkaamua kupuuzia.

Maana yake uongozi wa Yanga mpaka sasa una amini Mpumelelo amelogwa.

Kuna uwezekano huyo Mpumelelo leo akaingia na powerbank kwenye pitch.

Kinachokuja kuniacha njia panda ni pale ambapo sehemu kubwa ya maandalizi ya mechi yamefanyika kwa njia za kijadi zaidi.

Lakini inapotokea mechi imeisha wakiwa wamefungwa, unaona lawama zinaenda tena kwa kocha na technical bench lake.

Kwanini lawama isiende kwa Sangoma?
Maisha yenu watanzania ni Jadi kwa kila kitu. Hata nikiisoma comment yako inaonyesha aliyeiandika ni mtu atokanaye na Jadi, hata mfumo wake wa kimaisha umemfikisha alipo sababu ya jadi za familia 😀
 
Tunapiga mtu tatu bila
Dubeeee
Kiiiii
Zingeliii

Pacomeeee offside
Yao Kwasi asikosekana pale nyuma
Shedrak Bocca asikosekana Wazee
Baka asikosekana ingawa kapigwa red

Kocha aambiwe mapema bila hivyo vifaa uwanjani tutaaibika uwanjani nawaambia bila hivyo vifaa Yanga inafungwa kilaini tu
Gamond kasingiziwa

Yaan bila safu ya mabeki Yanga ni mwepesi mno ukiua safu ya mabeki waliobaki wote mdebwedo hakuna cha Mudathiri hakuna cha Pacome Aziz Ki Nzengeli wala Dube hawarudi nyuma kuja kukaba goli lisifungwe wanakaa mbele tu golini hakuna wa kuzuia
 
Back
Top Bottom