Anhaa kumbe ni wewe meku unakomesha kwa wakati.Hivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
Dube bado hajafunguliwa anadondoka dondoka tuuhUnatoa mrejesho au unahadithia Utopolo anavyoshambulia kwa kasi ya kona
Bangi kaziniYanga 0 - 1 Al Hilal
Khidir 7"
Unamuongelea dube au sio!?π π πoya amna striker apa
Kula bhangi ulale kijanaNi siku nyingine ya Yanga kuteseka uwanjaniπ
Kula bhangi upumzike kijanaUsijali mkuu kwasababu kuomba hata hakuna ninae mwomba π π π π π
Hahaha kuna mtu ameahidi kuvua nguo mkuu
Huyu tunamfanyaje eti!?