Anhaa kumbe ni wewe meku unakomesha kwa wakati.Hivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaa kumbe ni wewe meku unakomesha kwa wakati.Hivi leo hakuna aliyeahidi Yanga ikifungwa au kushinda apigwe ban?
Dube bado hajafunguliwa anadondoka dondoka tuuhUnatoa mrejesho au unahadithia Utopolo anavyoshambulia kwa kasi ya kona
Bangi kaziniYanga 0 - 1 Al Hilal
Khidir 7"
Unamuongelea dube au sio!?😅😅😂oya amna striker apa
Kula bhangi ulale kijanaNi siku nyingine ya Yanga kuteseka uwanjani😏
Kula bhangi upumzike kijanaUsijali mkuu kwasababu kuomba hata hakuna ninae mwomba 😅😅😅😅😅
Hahaha kuna mtu ameahidi kuvua nguo mkuu
Huyu tunamfanyaje eti!?