Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #701
Tumeisha 😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wamechoka.. hakuna cha Gamondi hapo...Mlionitukana wakati nasema sitoenda uwanjani leo mko wapi? Hersi na wenzie watatuambia nini?
Yalikuwa makosa makubwa kumtoa Gamondi, nawaambia huu ndio mwanzo wa shimo la Yanga.
Kazi kazi vipi huko ?Bangi kazini
Ndo nachoogopa Hicho kipindi cha Kwanza wakileta Ujinga na Cashout siwezi kupoteza LakiSema Mancity anapigo za ajabu 😮💨😮💨😮💨😮💨. Inabidi uwe macho leo kwenye CASH OUT"
Yanga kila Muhuni anamwaga ndani kweli imekua jamvi la wageni?Chikola Tu kutoka Tabora aliweka vyuma viwili hawa wanashindwaje?😂😂😂
Ndugu wa marehemu hawaonekani. Jiji ndio litaamuaTunazika au tunasafirisha?
Mtego tulioiingia yanga hu utazidi kutucostMlionitukana wakati nasema sitoenda uwanjani leo mko wapi? Hersi na wenzie watatuambia nini?
Yalikuwa makosa makubwa kumtoa Gamondi, nawaambia huu ndio mwanzo wa shimo la Yanga.
Unaumia ukiwa wapi?Wamfukuze na huyo Mjerumani pori.
Kwasaisi hiyo ndio itakuwa big punishmentNikajua umenistua nikupe ban
Pumbavu zenu ,kupiga kura Samia na nyie matimu yenu kubebwa vinahusianaje?Shenzi ww hujui sisi ndo wapiga kura wa mama ako kizimkazi....hahauuah