FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Mlionitukana wakati nasema sitoenda uwanjani leo mko wapi? Hersi na wenzie watatuambia nini?

Yalikuwa makosa makubwa kumtoa Gamondi, nawaambia huu ndio mwanzo wa shimo la Yanga.
Wachezaji wamechoka.. hakuna cha Gamondi hapo...
Magoli waliyokosa leo Gamondi ndo angefunga...
 
Hapa kibanda umiza ninapoangalia mpira kuna mtu kapasua Tv na chupa ya bia, sijui ni shabiki wa timu gani
 
Shenzi ww hujui sisi ndo wapiga kura wa mama ako kizimkazi....hahauuah
Pumbavu zenu ,kupiga kura Samia na nyie matimu yenu kubebwa vinahusianaje?

Samia lazima awe Rais hata msipompigia kura,nani kukwambia wanategemea kura zenu?

Mtakoma Bado zamu yenu kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…