FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Ifike muda sasa Diarra apumzishwe. Hee mnamchezesha mtoto wa watu, kama Bot!!!
Kwaherini, ngoja nipumzike kwanza. Maana nitawachamba hao kina Azizi K waone kwanza.
 
Alitakiwa atoke Dube, Aziz na Kibabage.
Pacome aliamka baada ya kupigwa moja. Alicheza vizuri Sana.
Upumbavu wa Dube Day ulifanya kocha akomae nae hadi mwisho.
Kila mtu akiona Dube anajinyea tu uwanjani.
Kumtoa Maxi ilikuwa kosa kubwa.
Abuya alipotolewa angeingia Mkude.
Binafsi naona wachezaji wapo ila mbinu tu ndo sifuri. Wancheza kwa kukalili tu
 
Back
Top Bottom