secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Kikao Cha kabla ya mechi kiliaziamia kuwa DUBE hata akiboronga hawezi kwenda benchi.Timu hii kuna kitu hakiko sawa pale kwenye timu yangu ya yanga. Sub mbili dk90 kweli jamani et? Alafu eti max anatoka anaingia musonda serious kabisa? Anatoka duke abuya eti anaingia chama kweli? Alitakiwa atoke prince na pacome ndo aingie (chama in pacome out, prince out msonda in ) lakn sub za kijinga kabisa.
Sasa wewe ni nani upange kutoka Kwa DUBE.