FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Timu hii kuna kitu hakiko sawa pale kwenye timu yangu ya yanga. Sub mbili dk90 kweli jamani et? Alafu eti max anatoka anaingia musonda serious kabisa? Anatoka duke abuya eti anaingia chama kweli? Alitakiwa atoke prince na pacome ndo aingie (chama in pacome out, prince out msonda in ) lakn sub za kijinga kabisa.
Kikao Cha kabla ya mechi kiliaziamia kuwa DUBE hata akiboronga hawezi kwenda benchi.
Sasa wewe ni nani upange kutoka Kwa DUBE.
 
Wachezaji wa Yanga, ngoja leo niwachane. Hasa nyinyi kina Azizi K, Pacôme na kampani yenu. Na huu ujumbe nitautuma kwa mtu awafikishie.

Tabia yenu ya kukesha Wavuvi pale, kuvuta mishisha. Mkija kiwanjani hoi, hapo bado hamjachoshwa na virembo vyenu.

Mmechoka kuchezea Yanga mtoke, mtuachie Yanga yetu. Walikuwepo kina Mayele na wengine, wakapita na Yanga ikabaki.

Na nyie mliomtoa Gamondi, acheni kusikiliza maneno, huyo kosa lake lilikuwa kuwaachia huru sana usiku.

Nabi popote ulipo, najua wewe ndiyo ulikuwa kocha haswa. Na niliumia sana ulipoondoka. Kunjua moyo mambo ni mdebwedo huku 😭😭😭😭
Madam mzuri nini tatizo mama😅😅😅
 
Timu hii kuna kitu hakiko sawa pale kwenye timu yangu ya yanga. Sub mbili dk90 kweli jamani et? Alafu eti max anatoka anaingia musonda serious kabisa? Anatoka duke abuya eti anaingia chama kweli? Alitakiwa atoke prince na pacome ndo aingie (chama in pacome out, prince out msonda in ) lakn sub za kijinga kabisa.
Alitakiwa atoke Dube, Aziz na Kibabage.
Pacome aliamka baada ya kupigwa moja. Alicheza vizuri Sana.
Upumbavu wa Dube Day ulifanya kocha akomae nae hadi mwisho.
Kila mtu aliona Dube anajinyea tu uwanjani.
Kumtoa Maxi ilikuwa kosa kubwa.
Abuya alipo tolewa angeingia Mkude.
 
Back
Top Bottom