FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Mimi ni simba/koro damu ila nawaombea ushindi mabigwa wa kihistoria wa hapa nyumbani, huu ishindi uwe chachu ya sisi kushinda pia hapo kesho.
 
mimba hiii
Kwa list hii kama ni mapenzi yakoo kikombe hiki kutuepuke ee Bwana
 
Lolote baya liwakute dadeki


AFDC3E6C-4808-4998-87CC-309F0E59FA12.jpeg
 
Hii game inaenda kuwa ngumu Sana Kwa timu yangu ...Young Africans vijana inataliwa ipambanane kweli kweli
 
Back
Top Bottom