Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
[emoji16][emoji16]Leo ilikuwa zamu yangu kuanzisha uzi huu lakini kabla sijatoka kazini wewe umeshauanzisha, je wewe hufanyi kazi? Sasa sis wengine tutaanzisha lini kama mnatuwahi kila gemu? Tuoneeni huruma sisi wanyonge kusudi nasi tupate angalau nafasi moja ya kuanzisha uzi.
