FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Mkuu naona umechanganyikiwa hadi kiswahili kinakushinda.

Nasema mmepigwa goli 2 kama alizowafunga Chikola. Sio game 2 ni goli 2 kati ya zile 3 za Nyuki wa Tabora
Mkuu ulinielewa kweli?
 

Mzee wa kukera anawasalimia
 

Attachments

  • Screenshot_20241127-193521_Instagram.jpg
    270.9 KB · Views: 6
Mimi kama shabiki wa uto nasemaje... Fukuza kocha majukumu apewe Aziz Ki anajiona kama kocha mkuu muda wote anaelekeza wenzake lakini kujielekeza yeye hataki.
MImi kama kocha mkuu pia ukiacha kufukuza kocha tufukuze na kipa ...kipa limekuwa chujio kinoma daily magoli ya tobo ..si tunatoka mbali tunakuja kuona mtu anapigwa tobo ndo nini yaan nimeghafirika sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…