Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga iliyochanganyikiwaDaah! Nipo rafiki. Mambo!
HIi yanga imejua kunikondesha aisee. 😔
Hongereni kwa ushindiTunapiga mtu tatu bila
Dubeeee
Kiiiii
Zingeliii
Pacomeeee offside
Kawaida tu mpk etoo walishawahi kumficha huku c ajabuHivi Backa na Job si ndio walisifiwa wamemficha mchezaji wa Bundasliga imekuwaje Tena fowadi wa anayecheza ligi ya kawaida awatoe jasho.
Mkuu ulinielewa kweli?Mkuu naona umechanganyikiwa hadi kiswahili kinakushinda.
Nasema mmepigwa goli 2 kama alizowafunga Chikola. Sio game 2 ni goli 2 kati ya zile 3 za Nyuki wa Tabora
Etoo alifunga goli mbili halafu mkawasikiliza wachambuzi kuwa Canavaro alimzuiaKawaida tu mpk etoo walishawahi kumficha huku c ajabu
Naongelea Mechi ya hapa taifa iliyotoka 0-0 achana na ya kule cameroon....au unataka kusema hakumzuia hyo....?Etoo alifunga goli mbili halafu mkawasikiliza wachambuzi kuwa Canavaro alimzuia
Ya kawaida tu mtani, uwezo wa kocha na wachezaji iliishia hapo.Daah! Huku ni kupatwa Mtani hakika Yanga tumepatwa this time. Lol
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na wenyewe wakajaa😍Wapi ulisikia mjerumani anaitwa saidi? Hii ni kuuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe ngiri pori
acha jazba mkuu relax!! Na bado round hii mtasem😂😂😂😂Tulikuwa tunataka maku ya mamako hakuelewa tu!
Mimi kama shabiki wa uto nasemaje... Fukuza kocha majukumu apewe Aziz Ki anajiona kama kocha mkuu muda wote anaelekeza wenzake lakini kujielekeza yeye hataki.Mimi kama shabiki wa uto nasemajee...fukuza kocha lete chuma inginee
MImi kama kocha mkuu pia ukiacha kufukuza kocha tufukuze na kipa ...kipa limekuwa chujio kinoma daily magoli ya tobo ..si tunatoka mbali tunakuja kuona mtu anapigwa tobo ndo nini yaan nimeghafirika sanaaMimi kama shabiki wa uto nasemaje... Fukuza kocha majukumu apewe Aziz Ki anajiona kama kocha mkuu muda wote anaelekeza wenzake lakini kujielekeza yeye hataki.
Wapi ulisikia mjerumani anaitwa saidi? Hii ni kuuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe ngiri pori
MImi kama kocha mkuu pia ukiacha kufukuza kocha tufukuze na kipa ...kipa limekuwa chujio kinoma daily magoli ya tobo ..si tunatoka mbali tunakuja kuona mtu anapigwa tobo ndo nini yaan nimeghafirika sanaa