Yani hata sub hayupo...! InashangazaNimeona yupo njee ya uwanja anazurura na Ali kamwe
Inawezekana ni majeruhi tuna majeruhi wengi sanaWhy baleke?!
FT YANGA 3-0🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
View attachment 3161611
Na Msudani ameshawapakia mkongo hadi arosto iwatoke
Nakuunga mkono, ila mimi nitashuhudia kwanza ukivua nguo nami navua😂🤣Yanga akishinda navua nguo
Bila Aucho? WamekwishaaaaKila la kheri Dar Young Africans View attachment 3162137
Hivi Aucho ana shida gani?Bila Aucho? Wamekwishaaaa
Mkuu niombe ban au niache tu😂Bila Aucho? Wamekwishaaaa
Jidanganye 😅Yanga 3 Hilakolo 0
[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169]
Na kinyume chake pia na iweLeo AL Hilal anapigwa 3 bila.
Msiseme sikuwaambia.
Bora wewe umetanguliza hofu utaikuta mbeleni ikiwa kitu halisi. Wale wanajipa matumaini shauri yao🤣😂Mm binafsi nina hofu sana leo daah...