Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Atasema ameikuta timu ina wachezaji wazee, January wampe pesa asajiliYanga hamna kitu hapa, tuambiane tu ukwel, angalau angekuepo Gamond, tungejipa moyo kuwa baada ya kipind cha pili watu watarud na mbinu mpya.
Ila huyu bwana, sisi tunaangakia mpira na kocha naye anaangalia mpira kutafuta kikosi, kuna nin tena hapa??