FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Yanga hamna kitu hapa, tuambiane tu ukwel, angalau angekuepo Gamond, tungejipa moyo kuwa baada ya kipind cha pili watu watarud na mbinu mpya.

Ila huyu bwana, sisi tunaangakia mpira na kocha naye anaangalia mpira kutafuta kikosi, kuna nin tena hapa??
Atasema ameikuta timu ina wachezaji wazee, January wampe pesa asajili
 
Yanga walitakiwa kuwa wameimaliza game kipindi cha kwanza
 
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
View attachment 3161611
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
View attachment 3162189

View attachment 3162190
Dakika ya 5
Mpira Umeanza

Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi


Dakika 25
Yanga wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 29
Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa kwenye boxi

Dakika ya 34
Al hilal wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 40
Mudathir anafanyiwa madhambi
Yeboyebo wanacheza kama bata wanaoharisha
 
Back
Top Bottom