PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 803
Dada makamasi tuliaMlionitukana wakati nasema sitoenda uwanjani leo mko wapi? Hersi na wenzie watatuambia nini?
Yalikuwa makosa makubwa kumtoa Gamondi, nawaambia huu ndio mwanzo wa shimo la Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada makamasi tuliaMlionitukana wakati nasema sitoenda uwanjani leo mko wapi? Hersi na wenzie watatuambia nini?
Yalikuwa makosa makubwa kumtoa Gamondi, nawaambia huu ndio mwanzo wa shimo la Yanga.
Walimfukuza kwa pressure ya mashabiki!
🤣🤣🤣🤣🤣Unanisingizia bure, sina timu.
Tetesi?Zile tetesi kuwa wachezaji yanga wanatumia sindano za kusisimua misuli huenda zina ukweli.
DuuhYanga hata wacheze mpaka kesho kutwa hii mechi, bado hawawezi kupata walau goli la offsideView attachment 3162288
Dk Bado WataludishaDakika 93'
Young Africans 0-2 Al Hilal Omdurman