Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga tu wote ndio waliomfukuza pumbavu zao uongozi wa ovyo kabisaKivipi
Gamondi alikosea wapi
Tupo live , vipi unateseka ukiwa wapi ?Kula bhangi ulale kijana
Emotions hazijawahi kuzidi akiliWalimfukuza kwa pressure ya mashabiki!
Wamemfanya nini?Nimeamini wanawake ni viumbe hatari sana.
Aziz ki ndo kawa hivi?!π
Mpumelelo leo kajitahidi, bahati haikuwa upande wake.Kwasaisi hiyo ndio itakuwa big punishment
Kwasababu utakuwa umeninyima airtime ya kumjadili Mpumelelo
Wala hata nipo home nacheki live youtubeJamani lol...pole sana jamani..kwahyo uko uwanjani?
Njoo unywe bia hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeisha [emoji24]
Nilikuhakikishia mkuuMimi sio mjinga kama wana yanga nikaomba ban kijinga jinga tu Active ππππππππ
Yanga ya bila kubebwa na Marefa, Yanga ya bila masindanoππ na uchawi ulimulikwa na CCTV cameraπππHii sasa ndio Yanga yetu tunayoijua
Yule wa kuvua Chupi na kutembea uchi yupo wapi apite uchi hapaAnyway; tunawatakiwa Simba ushindi mwema.
Tumeumia vibaya mno Beshteπ€£Daah nimeumiaaaaaaaaa yaniii moyo umekua hovezi....