FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

20241103_155321.jpg

Miyeyusho sana yaani sana 😭😭😭😭
 
Dakika 95' Full Time

Young Africans 0-2 Al Hilal Omdurman


Yanga sasa inaburuza mkia katika kundi lao

Al Hilal Omdurman ya Sudan yenye makao ya muda kule nchini Mauritania Afrika ya Magharibi kufuatia vita nchini Sudan, leo kupitia mabao ya Coulibaly 63' na Al Tayeb 90' wazamisha jahazi la Yanga katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Tanzania

Young Africans 0-2 Al Hilal Omdurman
 
Hizo incidents za Mpumelelo kujitahidi mi sijaziona.

Labda kama alisimiwa taa na leo.

Pacome kwangu ndio man of the match

Mpumelelo leo hawezi kupata usingizi
Tokea afike Yanga hajafanya vizuri kama ilivyokuwa inategemewa, atakuwa ana stress hivyo ifike wakati aanzie bench awe supersub, huenda akafanya vizuri.
 
Back
Top Bottom