Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #801
Miyeyusho sana yaani sana 😭😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka flying fish kabaridi Beshte...Sijielewi yani beshte...naona ninywe tuu ka wine na ka kitimoto hapa nipooze moyo
Third timePainful 😖 😖 😣 😣
Kocha kachanganyikiwa…
Hadi washabiki tulikataa sub ya pacome hamna kocha aisee
Utopolo jifunzeni kwa man city, imefungwa mara 5 mfululizo na kocha anapigiwa magoti ,kuongozea mkataba + salaryYanga inadrop kwa kasi ya four G....
Huyu Leo atapata tabu sanaVincenzo Jr Fukuzeni kocha kama kawaida yenu .
Ni hovyo kweli..Dakika zote 90 timu haieleweki ilikuwa na mpango gani, haikabi wala kushambulia.
Hovyo kabisa.
Mkuu walikuwa hawakuelewi sasa wataelewa😆👇Yanga ikipigwa huwa nasikia raha kama nakojoa wazunguuuuuuuu
Aisee mie nilishangaa nilitukana matusi yote hapa uwanjaniInamaana hakuonyeshwa hata clip zilizopota
'do the needful'Unanisingizia bure, sina timu.
Tokea afike Yanga hajafanya vizuri kama ilivyokuwa inategemewa, atakuwa ana stress hivyo ifike wakati aanzie bench awe supersub, huenda akafanya vizuri.Hizo incidents za Mpumelelo kujitahidi mi sijaziona.
Labda kama alisimiwa taa na leo.
Pacome kwangu ndio man of the match
Mpumelelo leo hawezi kupata usingizi
Wakaweka kweli 😁😁😁💃Wekeni Chuma cha pili😄😄😄