Hahahaha.. Nimekumbuka mbali sanaView attachment 3544510
Hahahaha.. Nimekumbuka mbali sanaView attachment 3544510
Kaka mshana unaangalia mpira?
Duh!..Wale jamaa hawana historia ya kufungana ndani ya dakika 90.
Nasikia keleleee hukoooo, ππππππ
Vipi tenaaaaaaa
Huku hakuna shidaa, tupe tokeo la uarabuniiiiiiiii??Tayari huko 3
Huku hakuna shidaa, tupe tokeo la uarabuniiiiiiiii??
Wee em sema kweliii??Al ahaly anaongonza goal 1
Al ahaly ya wapi ?Al ahaly anaongonza goal 1
Al ahly anaongoza bao 1,Utopolo mnajichosha tu kubalini yaishe
Duh!..Al Ahly kapata penati dk 70
Al ahly anaongoza bao 1,