KaribuSiku si nyingi naja Ta..... Itabidi nikutafute.
Daah! Kipenzi Changu naona umeamua unipake mafuta. Lol. π€£π€£π€£Una akili nzuri kama sura yako
Nilikuwa nikusanue, usije kuwa bado unasubiri goli la Al AhlDaah! Kipenzi Changu naona umeamua unipake mafuta. Lol. π€£π€£π€£
π π π hebu ukoo.Nilikuwa nikusanue, usije kuwa bado unasubiri goli la Al Ahl
Hawaleti timu.Yanga Taifa kubwa
Mbumbumbu wanaburuza mkia ila wanafurahi
Tukutane tarehe 1
Hahahaa. Ni yule aliyechezesha mechi ya Fainali AFCON Senegal v/s Morocco.Ana wenge!! Mambo vipi?