permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Siku nyingi tulishasema Yanga isajili mshambuliaji wa kuelewaka, Yanga huwa wanakosa nafasi nyingi sana za ufungaji. Hii beki nayo ina shida, Mwamnyeto ana makosa mengi sana, Job naye kuna gemu huwa anazidiwa.Dah! Yanga hatuna mshambuliaji aisee!! Kennedy unakosaje goli lingine la wazi kiasi kile!! Mpaka muda huu tungekuwa tunaongoza 3-0!!!
Yaani leo yanga inabidi ajipigie tuu hawa jamaa maana wapo ungaaaaaYanga wana tabia ya kumpiga mtu mkono wa nyani kipindi cha pili ngoja tuone
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Mchawi mchawiKipindi cha pili Yanga atazikumbuka Nafasi 3 alizozikosa live live kabsa
Kwa Mkapa hatoki mtuDuuh km ndo mamelodi bas simba tutaishia hapo robo, [emoji24][emoji24]
Misumari mkuu mpira wa bongo ujizatiti haswa.Hivi Max anashida gani skuhizi[emoji848]
Misunali bongooo....Hivi Max anashida gani skuhizi[emoji848]
Kawa kama kawaidaMax kawaje huyu dogo siku hizi
Wewe usiongee wakati tuliwala 5.Ndio uwezo wenu umeishia hapo mzee
Tukio alilomfanyia Job refa kasema ni fair challenge alikuwa anawania mpira.Yellow Card kwa Sowah.
Ame dive
Imagine Madeame kamfunga mchomvu Beleuizdad tu na akatoa droo na nyinyi 1st leg sasa kuna timu humoAcha ushabiki , kwenye kundi lenu hakuna timu iliyofungwa na Wydad zaidi ya Makolo.
Kwenye msimamo ukiona Wydad ana point 3 uliza kazipataje,
Wydad siyo mwizi alijipatia point kihalali kabisa
Kwenye mabegi mkuu..πππWakishinda tutaweka wapi sura zetu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa ile chansi aliyopata Pacome ya kufunga bao la kuongoza angekuwa ni Onana angeitumia kufunga bao 2