permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Siku nyingi tulishasema Yanga isajili mshambuliaji wa kuelewaka, Yanga huwa wanakosa nafasi nyingi sana za ufungaji. Hii beki nayo ina shida, Mwamnyeto ana makosa mengi sana, Job naye kuna gemu huwa anazidiwa.Dah! Yanga hatuna mshambuliaji aisee!! Kennedy unakosaje goli lingine la wazi kiasi kile!! Mpaka muda huu tungekuwa tunaongoza 3-0!!!
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app