FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

kama zitatolewa takwimu za kumiliki kabumbu kwa ligi ya mabingwa yanga anajua sana

sio kusema madeama ana stahili yeye pia hapendi analazimishwa na wanao jua
Ni level yako huyo so jipigie tu
 
Medeama walistahili kufungwa zaidi ya goli moja.

Walikuwa na makosa mengi sana ya wazi lakini bahati imekuwa kwao tu kwasababu wanaofika fika kule mbele ni kina Musonda, Kibabage na Max ambao wamekuwa na maamuzi mabovu ya mwisho
Hata kwao walistahili kufa 3-1 sema ndiyo hivyo tena mipango nnje ya uwanja Yanga ni wanafunzi ndiyomaana walinyimwa haki za goli la halali na red card kwa lichezaji la Mediama SC.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom