FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Dah! Yanga hatuna mshambuliaji aisee!! Kennedy unakosaje goli lingine la wazi kiasi kile!! Mpaka muda huu tungekuwa tunaongoza 3-0!!!
Siku nyingi tulishasema Yanga isajili mshambuliaji wa kuelewaka, Yanga huwa wanakosa nafasi nyingi sana za ufungaji. Hii beki nayo ina shida, Mwamnyeto ana makosa mengi sana, Job naye kuna gemu huwa anazidiwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ile chansi aliyopata Pacome ya kufunga bao la kuongoza angekuwa ni Onana angeitumia kufunga bao 2
 
Acha ushabiki , kwenye kundi lenu hakuna timu iliyofungwa na Wydad zaidi ya Makolo.

Kwenye msimamo ukiona Wydad ana point 3 uliza kazipataje,

Wydad siyo mwizi alijipatia point kihalali kabisa
Imagine Madeame kamfunga mchomvu Beleuizdad tu na akatoa droo na nyinyi 1st leg sasa kuna timu humo
 
Back
Top Bottom