FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Jana tu ndo mkosi ulimtoka mule hamna mtu usimfananishe Pacome na vitu vya hovyo
We ongea tu mwache huyu babu yenu ajiangaishe angaishe

Onana anafunga goli zote kwenye mechi moja tena mechi ya maamuzi mechi fainali sio na hawa waliokata ringi
 
Kwa timu gani nawewe ya kututambia?
Kumbuka tu kundi la Yanga ni la Mabingwa tupu kwenye nchi zao. Kwa hiyo ujitahidi kuwaheshimu. Ni tofauti na kundi kama lile la kwenu ambalo lina timu za viti maalum.
 
Kumbuka tu kundi la Yanga ni la Mabingwa tupu kwenye nchi zao. Kwa hiyo ujitahidi kuwaheshimu. Ni tofauti na kundi kama lile la kwenu ambalo lina timu za viti maalum.
Mabingwa ni wawili we haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…