FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

simba iwe kipimo kwa mpira gani, timu haifikishia hata pasi 10 mfululizo iwe kipimo mkuu kuwa serious basi
Sasa sherehe za kufunga goli 3 moja kumzidi Simba za nini?
 
Leo kwa kweli jamaa wamekuwa chini sana...no tempo to their play, sloppy passing, poor decision making on the ball and dnt even start on that weak asssssss penalty.
Hata kule kwao walikuwa hivi hivi sema kule walipungua kidogo yani nyumbani kuliwabeba.

Lakini walikuwa wanapigika kulekule kwao.

We unafikiri nini kinachonipa confidence kuwa Yanga havuki makundi?

Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kuwaona Yanga wanafurahi baada ya mechi ya kimataifa

Maana huko mbeleni tunakoelekea kuna tisha ni bora wananchi wafahamishwe mapema wajipange kisaikolojia.
 
Haya mie nabet simba akimfunga yanga nitacha story za kugegeda a hapa jf lakini simba akifungwa na yanga wee itabidi unipee mbususu ili kibamia changu kienjoy
Msyuuuu...mbona unanichagulia betting yangu??
Yanga ikimfunga Simba naacha ushabiki..najua hii utaona haina impact kwenu ila kwangu kuacha kushabikia timu yangu itakua maumivu makali mnoo..nakuahidi...
 
Sasa sherehe za kufunga goli 3 moja kumzidi Simba za nini?
sisi hufanya sherehe kuanzia goli 5 ndo tunaweka na mabango hii si sherehe ni shamra shamra
 
Hawa Namungo mliotoa nae droo nyie. Tena Medeama kajitahidi au mmesahau Novemba tano inabidi tuongeze mabango.
Mgumba kapata mimba mate mji mzima, hukupigwa 5 bila na Simba ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…