FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Hatimaye baaada ya Miongo 8 na Miaka 8 Ndio Utopolo anapata ushindi wa kwanza. Halafu kuna kenge fulani wanaanza kuita Mnyama Mwakalobo
 
20231220_180016.jpg
 
Nilipigwa nilicho washangaa kusema nimewaokota,wakati hawa wamejitahidi wamekula tano,wakati nyie mlikula tano au mmesahau......
Kama hujawahi kula 5 za mnyama ndo useme...acheni ulimbukeni..mshafungwa sana tena 6 kwa 0...4 kwa 0 ndo usiseme..
 

UTABIRI WA MECHI YA YANGA LEO 20-12-2023. 16:00P​

Screenshot_20231220-175836.jpg
Mechi ya yanga!​

mechi itakuwa na upinzani mkubwa Sana matumizi ya nguvu Sana mpambano utakuwa wa mvutano magori yatatoka mengi ila yanga atashinda magori kuanzia 2+ yatazalishwa magori mengi.yote kwa yote yanga hii mechi anashinda
Wachezaji wataoshinda jezi namba inayogawnyika kwa mbili.ikitokea anashinda jez namba ya witri magor machache ikishinda namba tasa magor mengi.
Kwa iyo anashinda mwenye namba 24.26.10.18.16.8.wakishinda wenye namba izo magor yatazaa mengi na wakishinda namba 7.9.3.5.25. magor machache.
 
Hongereni Wananchi kwa ushindi muhimu. Ila bado mna mechi 2 za kuamua hatma yenu msimu huu. Ila kocha anatakiwa afanyie kazi utimamu wa washambuliaji wake. Kwenye mechi ya leo, kwa kweli wamepoteza nafasi nyingi za wazi.
 
Kama hujawahi kula 5 za mnyama ndo useme...acheni ulimbukeni..mshafungwa sana tena 6 kwa 0...4 kwa 0 ndo usiseme..
Na kocha mkamuondoa kesho yake..... tukubaliane tu hawa jamaa wamejitahidi kuliko nyie na wamecheza bila mashabiki leo,wamekula tatu wakati nyinyi juzi mlikula tano.

Medeama ni bora kuliko wewe,sababu karuhusu goli chache.
 
Back
Top Bottom