FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

UTABIRI WA MECHI YA YANGA LEO 20-12-2023. 16:00P​

View attachment 2848284Mechi ya yanga!​

mechi itakuwa na upinzani mkubwa Sana matumizi ya nguvu Sana mpambano utakuwa wa mvutano magori yatatoka mengi ila yanga atashinda magori kuanzia 2+ yatazalishwa magori mengi.yote kwa yote yanga hii mechi anashinda
Wachezaji wataoshinda jezi namba inayogawnyika kwa mbili.ikitokea anashinda jez namba ya witri magor machache ikishinda namba tasa magor mengi.
Kwa iyo anashinda mwenye namba 24.26.10.18.16.8.wakishinda wenye namba izo magor yatazaa mengi na wakishinda namba 7.9.3.5.25. magor machache.
Tupe na timu zingine mkuu au tufundishe hzo mbinu tuongeze kipato.
 
Hongereni Wananchi kwa ushindi muhimu. Ila bado mna mechi 2 za kuamua hatma yenu msimu huu. Ila kocha anatakiwa afanyie kazi utimamu wa washambuliaji wake. Kwenye mechi ya leo, kwa kweli wamepoteza nafasi nyingi za wazi.
Hapana mechi ni moja Tu... Kwanza Tuombe Sana Al ahly ampige CR B... Halafu na Sisi tukimfunga biashara inaisha
 
Na kocha mkamuondoa kesho yake..... tukubaliane tu hawa jamaa wamejitahidi kuliko nyie na wamecheza bila mashabiki leo,wamekula wakati nyinyi juzi mlikula tano.

Medeama ni bora kuliko wewe,sababu karuhusu goli chache.
Nakuuliza zile video za ulozi unazo au nikurushie uziangalie upyaaaaaa...pale yalikua yanacheza majini...
 
Mliokuwa mna doubt uwezo wangu kwenye football.... nendeni kwe thread hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mliokuwa mna doubt uwezo wangu kwenye football.... nendeni kwe thread hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeotea leo hatulali...na kwa sbb ulijua hao vibonde hawatoki
 
Mliokuwa mna doubt uwezo wangu kwenye football.... nendeni kwe thread hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kolowizard walikubeza
 
Yanga nafasi ya pili kwenye kundi akiwa chini ya Al Ahly (mtani wangu) wakiwa wamefungana point

Lakini mtani bado hajacheza mechi ya mzunguko wa pili kutokana na ubize wa World Cup.

Sasa kinachofanyika hapa kwa Yanga ni kuomba dua tu Cr Belarouzidad afungwe na Al Ahly ili

Ilitokea Cr Belarouzidad kamfunga Al Ahly maana yake Yanga atarudi kwenye nafasi ya 3 kama kundi lilivyaonza.

Ikitokea Cr Belarouzidad katoa sare yeyote bado vilevile Cr Belarouzidad atarudi nafasi ya pili na Yanga kushuka nafasi ya tatu.

Kwasababu Yanga na CR Belouzidad ndio wapo kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili hivyo fact ya kuamua nani akae katika nafasi hiyo ni kuangalia H2H walivyokutana.

Yanga mpaka sasa kafungwa bao 3 na CR Belouzidad hivyo nafasi ya kukaa namba mbili itaenda kwa Cr Belarouzidad.

Kwa hiyo ukiangalia kwa makini utaona Yanga yupo kwenye siti ambayo tayari ina mtu ila huyo mtu katoka kwenda msalani mara moja.

Screenshot_20231220-175821.png
 
Mliokuwa mna doubt uwezo wangu kwenye football.... nendeni kwe thread hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulibahatisha tu
 
Hongereni Wananchi kwa ushindi muhimu. Ila bado mna mechi 2 za kuamua hatma yenu msimu huu. Ila kocha anatakiwa afanyie kazi utimamu wa washambuliaji wake. Kwenye mechi ya leo, kwa kweli wamepoteza nafasi nyingi za wazi.
Hii mechi mlipaswa mtoke na goli 8 mtani, itabidi kocha afanye kazi ya ziada ili huko mbele kuwe daima na nyuma mwiko 😂😂
 
Hapana mechi ni moja Tu... Kwanza Tuombe Sana Al ahly ampige CR B... Halafu na Sisi tukimfunga biashara inaisha
Al ahly na belouzdad ndo wanaoenda robo, waliocheza leo ndo ntoleee, tukutane mwakani.
 
Kuna ushindi ....afu Kuna pira burudan
... this is what wananchi always do[emoji23][emoji23]
 
Nakuuliza zile video za ulozi unazo au nikurushie uziangalie upyaaaaaa...pale yalikua yanacheza majini...
Nyie tena sio ndio shughuli zenu au mmesahau ule upuuzi wenu wa kuota moto katikati ya uwanja South , mkapigwa faini ya dola 5000 na CAF au hili nalo linahitaji tuweke bango, mbona mnakuwa wepesi kusahau.....
 
Back
Top Bottom