Yanga nafasi ya pili kwenye kundi akiwa chini ya Al Ahly (mtani wangu) wakiwa wamefungana point
Lakini mtani bado hajacheza mechi ya mzunguko wa pili kutokana na ubize wa World Cup.
Sasa kinachofanyika hapa kwa Yanga ni kuomba dua tu Cr Belarouzidad afungwe na Al Ahly ili
Ilitokea Cr Belarouzidad kamfunga Al Ahly maana yake Yanga atarudi kwenye nafasi ya 3 kama kundi lilivyaonza.
Ikitokea Cr Belarouzidad katoa sare yeyote bado vilevile Cr Belarouzidad atarudi nafasi ya pili na Yanga kushuka nafasi ya tatu.
Kwasababu Yanga na CR Belouzidad ndio wapo kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili hivyo fact ya kuamua nani akae katika nafasi hiyo ni kuangalia H2H walivyokutana.
Yanga mpaka sasa kafungwa bao 3 na CR Belouzidad hivyo nafasi ya kukaa namba mbili itaenda kwa Cr Belarouzidad.
Kwa hiyo ukiangalia kwa makini utaona Yanga yupo kwenye siti ambayo tayari ina mtu ila huyo mtu katoka kwenda msalani mara moja.
View attachment 2848285