FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Muimbaji taarabu
Screenshot_20231220-092648.jpg
 
Yanga nafasi ya pili kwenye kundi akiwa chini ya Al Ahly (mtani wangu) wakiwa wamefungana point

Lakini mtani bado hajacheza mechi ya mzunguko wa pili kutokana na ubize wa World Cup.

Sasa kinachofanyika hapa kwa Yanga ni kuomba dua tu Cr Belarouzidad afungwe na Al Ahly ili

Ilitokea Cr Belarouzidad kamfunga Al Ahly maana yake Yanga atarudi kwenye nafasi ya 3 kama kundi lilivyaonza.

Ikitokea Cr Belarouzidad katoa sare yeyote bado vilevile Cr Belarouzidad atarudi nafasi ya pili na Yanga kushuka nafasi ya tatu.

Kwasababu Yanga na CR Belouzidad ndio wapo kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili hivyo fact ya kuamua nani akae katika nafasi hiyo ni kuangalia H2H walivyokutana.

Yanga mpaka sasa kafungwa bao 3 na CR Belouzidad hivyo nafasi ya kukaa namba mbili itaenda kwa Cr Belarouzidad.

Kwa hiyo ukiangalia kwa makini utaona Yanga yupo kwenye siti ambayo tayari ina mtu ila huyo mtu katoka kwenda msalani mara moja.

View attachment 2848285
Al ahly atampasua CR B hata hatuna wasiwasi akija bongo Sisi kazi yetu itakua n kumzika Tu... Cairo wataenda kucheza kina Ngushi maana tutakua tushafuzu hivo kina Professor Pacomeeeeeeeeee watakua likizo wakijiandaa na Robo fainali...

Sasa tukija kwenye timu yako ukweli mchungu ni kua Asec lazima awafunge ili aongoze kundi hapo Hana masikhara kabisa maana anajua game ya mwisho Morocco itakua ngumu... Wydad atampasua Galaxy na game ya mwisho Asec atakua Hana interest nayo maana atakua tayari na point 13 hivo atamuacha Wydad ashinde wapite wote...

Kwa lugha rahisi usichokipenda ndicho kitakachotokea [emoji16][emoji28]
 
Ndo timu za wakubwa zinavyocheza..nyie si mmefunguka mmeona mnacheza na kibonde? Nenda sasa kichwa kichwa kwa Alhly mkafe kibudu....
Mimi mechi zote nime possess mpira na sina desturi ya kubaki basi msimu huu. Huyu sio kibonde karuhusu goli tatu,sasa aliye ruhusu goli tano tumwiteje........

Kipindi cha pili jana ilikuwa mabeki tisa mshambuliaji mmoja.
 
Hapa kwa inavyoonekana, Kundi B wanaoenda robo fainali ni Asec Mimosas na Simba, Na Kundi D wanaoenda robo fainali ni CR Belouizdad na Al Ahly
Mtizamo wako.Tunakumbushana tu Makirikiri alipindua mbili bila kwa Mkapa na nafasi anayo kwenda robo.
 
Hapa kwa inavyoonekana, Kundi B wanaoenda robo fainali ni Asec Mimosas na Simba, Na Kundi D wanaoenda robo fainali ni CR Belouizdad na Al Ahly
Nipo tayari kubet na wewe....
Asec na Wydad ndo watapita...
Huku Kwa Mabingwa Yanga na Al ahly ndo watapita...
Simba na Belouizdad mtaungana kutafuta timu za kushabikia robo fainali [emoji2957]
 
Mleteni mwijaku kasema tukifunga apigwe mawe mpaka afe 🤣🤣🤣🤣
 
Al ahly atampasua CR B hata hatuna wasiwasi akija bongo Sisi kazi yetu itakua n kumzika Tu... Cairo wataenda kucheza kina Ngushi maana tutakua tushafuzu hivo kina Professor Pacomeeeeeeeeee watakua likizo wakijiandaa na Robo fainali...

Sasa tukija kwenye timu yako ukweli mchungu ni kua Asec lazima awafunge ili aongoze kundi hapo Hana masikhara kabisa maana anajua game ya mwisho Morocco itakua ngumu... Wydad atampasua Galaxy na game ya mwisho Asec atakua Hana interest nayo maana atakua tayari na point 13 hivo atamuacha Wydad ashinde wapite wote...

Kwa lugha rahisi usichokipenda ndicho kitakachotokea [emoji16][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, hebu amka utajikojolea bure.
Al ahly na belouzdad ndo wanaenda Robo.
 
Mimi mechi zote nime possess mpira na sina desturi ya kubaki basi msimu huu. Huyu sio kibonde karuhusu goli tatu,sasa aliye ruhusu goli tano tumwiteje........

Kipindi cha pili jana ilikuwa mabeki tisa mshambuliaji mmoja.
Rudia comment yangu utajifunza kitu...jifanyeni vichwa ngumu
 
Nipo tayari kubet na wewe....
Asec na Wydad ndo watapita...
Huku Kwa Mabingwa Yanga na Al ahly ndo watapita...
Simba na Belouizdad mtaungana kutafuta timu za kushabikia robo fainali [emoji2957]
Unaijua Belozdad lakinii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa enyewe kwako kwa mkapa anakupasua vizuri.
 
Al ahly atampasua CR B hata hatuna wasiwasi akija bongo Sisi kazi yetu itakua n kumzika Tu... Cairo wataenda kucheza kina Ngushi maana tutakua tushafuzu hivo kina Professor Pacomeeeeeeeeee watakua likizo wakijiandaa na Robo fainali...

Sasa tukija kwenye timu yako ukweli mchungu ni kua Asec lazima awafunge ili aongoze kundi hapo Hana masikhara kabisa maana anajua game ya mwisho Morocco itakua ngumu... Wydad atampasua Galaxy na game ya mwisho Asec atakua Hana interest nayo maana atakua tayari na point 13 hivo atamuacha Wydad ashinde wapite wote...

Kwa lugha rahisi usichokipenda ndicho kitakachotokea [emoji16][emoji28]
Ngoja kwanza usiparaze paraze maneno.

Fikiria Al Ahly atoe sare na CR Belouzidad kisha mechi yenu ya mwisho na Cr Belarouzidad mshinde.

Maana yake hapo utakuwa na point 8 na game ngumu ya mwisho ambayo ni Al Ahly akiwa kwake

Wakati huo Belarouzidad ana point 5 na game simple dhidi ya Medeama tena akiwa nyumbani.

Hapo maana yake mkifungwa na Al Ahly na Cr Belarouzidad kule akishinda atakuwa na point 8 kama zako.

Hapo ndio h2h itaamua.

Nani kafungwa goli nyingi mlipokutana ndio ishu ambayo itakuwa mezani

Sasa hapa ukiangalia ishu sio ushindi tu, ishu ni ushindi wa goli ngapi.

Ukimfunga Belouzidad goli 3 (kitu ambacho ni kigumu) bado pia hapo haikupi guarantee ya kupita kuna kigezo cha goli bora.

Lakini mimi kipengele kilikuwa ni Wydad tu waliobaki wote nakanyaga tena sio tu napita bali namaliza nikiwa naongoza kundi
 
Back
Top Bottom