Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Ntakukumbusha [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, hebu amka utajikojolea bure.
Al ahly na belouzdad ndo wanaenda Robo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakukumbusha [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, hebu amka utajikojolea bure.
Al ahly na belouzdad ndo wanaenda Robo.
We Una utani kashindwa Al ahly wataweza hao mizoga [emoji1787]Unaijua Belozdad lakinii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa enyewe kwako kwa mkapa anakupasua vizuri.
The future will decide...Ngoja kwanza usiparaze paraze maneno.
Fikiria Al Ahly atoe sare na CR Belouzidad kisha mechi yenu ya mwisho na Cr Belarouzidad mshinde.
Maana yake hapo utakuwa na point 8 na game ngumu ya mwisho ambayo ni Al Ahly akiwa kwake
Wakati huo Belarouzidad ana point 5 na game simple dhidi ya Medeama tena akiwa nyumbani.
Hapo maana yake mkifungwa na Al Ahly na Cr Belarouzidad kule akishinda atakuwa na point 8 kama zako.
Hapo ndio h2h itaamua.
Nani kafungwa goli nyingi mlipokutana ndio ishu ambayo itakuwa mezani
Sasa hapa ukiangalia ishu sio ushindi tu, ishu ni ushindi wa goli ngapi.
Ukimfunga Belouzidad goli 3 (kitu ambacho ni kigumu) bado pia hapo haikupi guarantee ya kupita kuna kigezo cha goli bora.
Lakini mimi kipengele kilikuwa ni Wydad tu waliobaki wote nakanyaga tena sio tu napita bali namaliza nikiwa naongoza kundi
Mechi ya Al Ahly na Cr Belarouzidad ndio mechi ya maamuzi kwa Cr Belarouzidad.Yah kwa hapa Yanga tujiambie tu ukwel kwamba bado hatujawa na clear confirmation. Ni better tukaji consider kuwa mech yetu ya maruadiano na Alahly au cr bel ndio hasa zimebena hatima yetu.
Hii yaeo well and gu but still haitupi uhakika sana. Mambo ya mpaka uombee flan afungwe ni mambo ya ramli sana na si suala ya kimchezo
AiseeView attachment 2848295
Alafu mwishoni ikawaje
Mkuu usisahau kupandisha uzi wa Al ahly huko wanapochezaView attachment 2847959
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC
📆 20.12.2023
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 4:00pm
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Yanga!!
#DaimaMbeleNyumamwiko#
Kikosi cha Yanga kinachoanza.
View attachment 2848149
Kikosi cha Medeama Kinachoanza.
View attachment 2848213
Dakika ya 33'
Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome.
Yanga 1 - 0 Medeama
Half Time:
Yanga 1 - 0 Medeama...
Dakika 61'
Yanga wanapata Goli la pili kupitia kwa Kenedy Musonda/Bakari Nondo
Yanga 2 - 0 Medeama...
Mpira unaendelea.
Dakika ya 66'
Goal kwa Yanga.
Mudathiri anafunga.
Yanga 3 - 0 Medeama
Mpira unaendelea
Dakika ya 90'
Jonathan Sowah anapata Red Card.
Baada ya kumchezea rafu Skudu.
Full Time.
Yanga 3 - 0 Medeama
🤣🤣🤣 bila shaka umekubali.Ngoja tu reply kabisa hamkawii ku edit post
Lini utapata akili wewe? H2H ni criteria ya nne ujuaji mwingi akili kisodaYanga nafasi ya pili kwenye kundi akiwa chini ya Al Ahly (mtani wangu) wakiwa wamefungana point
Lakini mtani bado hajacheza mechi ya mzunguko wa pili kutokana na ubize wa World Cup.
Sasa kinachofanyika hapa kwa Yanga ni kuomba dua tu Cr Belarouzidad afungwe na Al Ahly ili
Ilitokea Cr Belarouzidad kamfunga Al Ahly maana yake Yanga atarudi kwenye nafasi ya 3 kama kundi lilivyaonza.
Ikitokea Cr Belarouzidad katoa sare yeyote bado vilevile Cr Belarouzidad atarudi nafasi ya pili na Yanga kushuka nafasi ya tatu.
Kwasababu Yanga na CR Belouzidad ndio wapo kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya pili hivyo fact ya kuamua nani akae katika nafasi hiyo ni kuangalia H2H walivyokutana.
Yanga mpaka sasa kafungwa bao 3 na CR Belouzidad hivyo nafasi ya kukaa namba mbili itaenda kwa Cr Belarouzidad.
Kwa hiyo ukiangalia kwa makini utaona Yanga yupo kwenye siti ambayo tayari ina mtu ila huyo mtu katoka kwenda msalani mara moja.
View attachment 2848285
Wewe naona umeanza Yale ya Ahmed Ally kua mtampiga Galaxy nje ndani...Ngoja kwanza usiparaze paraze maneno.
Fikiria Al Ahly atoe sare na CR Belouzidad kisha mechi yenu ya mwisho na Cr Belarouzidad mshinde.
Maana yake hapo utakuwa na point 8 na game ngumu ya mwisho ambayo ni Al Ahly akiwa kwake
Wakati huo Belarouzidad ana point 5 na game simple dhidi ya Medeama tena akiwa nyumbani.
Hapo maana yake mkifungwa na Al Ahly na Cr Belarouzidad kule akishinda atakuwa na point 8 kama zako.
Hapo ndio h2h itaamua.
Nani kafungwa goli nyingi mlipokutana ndio ishu ambayo itakuwa mezani
Sasa hapa ukiangalia ishu sio ushindi tu, ishu ni ushindi wa goli ngapi.
Ukimfunga Belouzidad goli 3 (kitu ambacho ni kigumu) bado pia hapo haikupi guarantee ya kupita kuna kigezo cha goli bora.
Lakini mimi kipengele kilikuwa ni Wydad tu waliobaki wote nakanyaga tena sio tu napita bali namaliza nikiwa naongoza kundi
Naunga 🤝🤝🤝Mkuu usisahau kupandisha uzi wa Al ahly huko wanapocheza
Tunaweza kupima yanayoweza kujiri baadaye kupitia dalili zilioonekana leo.The future will decide...
Punguza manenooo...💛
Edit yako sasaNgoja tu reply kabisa hamkawii ku edit post
Kuweni na Akiba.Tunaweza kupima yanayoweza kujiri baadaye kupitia dalili zilioonekana leo.
Simba hana mechi ngumu mechi ngumu ilikuwa ya jana.
Wakati Yanga mechi rahisi ndio ilikuwa ya leo
Japo ni kweli matokeo ya mpira yanaweza kushangaza watu ila haizuii kufanya makadirio kupitia statistics.
Ndio maana hata kampuni za kubeti zinatumia vigezo hivyo.
Acha kujieleza sana kakaNgoja kwanza usiparaze paraze maneno.
Fikiria Al Ahly atoe sare na CR Belouzidad kisha mechi yenu ya mwisho na Cr Belarouzidad mshinde.
Maana yake hapo utakuwa na point 8 na game ngumu ya mwisho ambayo ni Al Ahly akiwa kwake
Wakati huo Belarouzidad ana point 5 na game simple dhidi ya Medeama tena akiwa nyumbani.
Hapo maana yake mkifungwa na Al Ahly na Cr Belarouzidad kule akishinda atakuwa na point 8 kama zako.
Hapo ndio h2h itaamua.
Nani kafungwa goli nyingi mlipokutana ndio ishu ambayo itakuwa mezani
Sasa hapa ukiangalia ishu sio ushindi tu, ishu ni ushindi wa goli ngapi.
Ukimfunga Belouzidad goli 3 (kitu ambacho ni kigumu) bado pia hapo haikupi guarantee ya kupita kuna kigezo cha goli bora.
Lakini mimi kipengele kilikuwa ni Wydad tu waliobaki wote nakanyaga tena sio tu napita bali namaliza nikiwa naongoza kundi
Mi sijaumiaCha ajabu kuna wengine wameumia zaidi ya Mediama. 🤣