uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Hii inahusikaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inahusikaje?
Nakwambia hivi ule mpira mliloga full stop..we leta kumbukumbu mimi nakupa za motoo za juzi...mpira urudiwe...Nyie tena sio ndio shughuli zenu au mmesahau ule upuuzi wenu wa kuota moto katikati ya uwanja South , mkapigwa faini ya dola 5000 na CAF au hili nalo linahitaji tuweke bango, mbona mnakuwa wepesi kusahau.....
Kwahiyo mlipigwa 5 bila na simba?Nilipigwa nilicho washangaa kusema nimewaokota,wakati hawa wamejitahidi wamekula tano,wakati nyie mlikula tano au mmesahau......
Huna timu ww,yaani hata tukicheza mashabiki hamtufungi.Nakwambia hivi ule mpira mliloga full stop..we leta kumbukumbu mimi nakupa za motoo za juzi...mpira urudiwe...
Nakwambia hivi ule mpira mliloga full stop..we leta kumbukumbu mimi nakupa za motoo za juzi...mpira urudiwe...
Jidanganye ww mzee...mtaita maji mmaaa tha I assure you..Huna timu ww,yaani hata tukicheza mashabiki hamtufungi.
Kikosi gani?Kwahiyo mlipigwa 5 bila na simba?
Si tuliona?? Au nikupe videoHebu Acha Ushirikina Muda Wote Unawaza Ulonzi.[emoji23]
Huyu Namungo ulie toa nae draw?Medeama hata angecheza na Namungo wangepigwa tu
Huna timu jana ulikuwa na zali na basi lenu lile la jana,mabeki tisa.Hata tukiokotana humu JF mashabiki wa Yanga hamtufungi.Jidanganye ww mzee...mtaita maji mmaaa tha I assure you..
Mtafungwa tuuu...hilo halima mjadala
Sahihi kabisa.Hii mechi mlipaswa mtoke na goli 8 mtani, itabidi kocha afanye kazi ya ziada ili huko mbele kuwe daima na nyuma mwiko 😂😂
Si tuliona?? Au nikupe video
Ndo timu za wakubwa zinavyocheza..nyie si mmefunguka mmeona mnacheza na kibonde? Nenda sasa kichwa kichwa kwa Alhly mkafe kibudu....Huna timu jana ulikuwa na zali na basi lenu lile la jana,mabeki tisa.
Hapana yule uliyembahatisha kwa goli la offsideHuyu Namungo ulie toa nae draw?
Hapana si kwa ile siku....Hakuna Kitu Ni Uwezo