FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Ngoja kwanza usiparaze paraze maneno.

Fikiria Al Ahly atoe sare na CR Belouzidad kisha mechi yenu ya mwisho na Cr Belarouzidad mshinde.

Maana yake hapo utakuwa na point 8 na game ngumu ya mwisho ambayo ni Al Ahly akiwa kwake

Wakati huo Belarouzidad ana point 5 na game simple dhidi ya Medeama tena akiwa nyumbani.

Hapo maana yake mkifungwa na Al Ahly na Cr Belarouzidad kule akishinda atakuwa na point 8 kama zako.

Hapo ndio h2h itaamua.

Nani kafungwa goli nyingi mlipokutana ndio ishu ambayo itakuwa mezani

Sasa hapa ukiangalia ishu sio ushindi tu, ishu ni ushindi wa goli ngapi.

Ukimfunga Belouzidad goli 3 (kitu ambacho ni kigumu) bado pia hapo haikupi guarantee ya kupita kuna kigezo cha goli bora.

Lakini mimi kipengele kilikuwa ni Wydad tu waliobaki wote nakanyaga tena sio tu napita bali namaliza nikiwa naongoza kundi
We jamaa ,kigezo cha Goli Bora umekitoa wapi, hebu Weka hiyo kanuni ya Goli Bora
Kwa nn umeruka kipengele cha goal difference
Kumbe Simba kuna wahasibu wengi 🤣🤣🤣
 
Sisi tunafuzu kwa points wala sio kusubiri flani amfunge flani
Nimekuuliza au ndo tamaa
20231216_003745.jpg
 
Lini utapata akili wewe? H2H ni criteria ya nne ujuaji mwingi akili kisodaView attachment 2848316
Ngoja kwanza.

Katika sheria za CAF H2H ya magoli ni kipengele namba 3 sio nne kama hii yako ya uchochoroni inavyoonesha.

Pia idadi ya magoli yote uliyofunga kwa mzunguko ni kigezo cha mwishoni kabisa (namba 5) ikiwa hivyo vigezo tangulizi vimeshindwa kuamua

Kwa hiyo nakuwekea hapa sheria ikusaidie kabla ya kujifanya critic

Iwapo timu mbili zitatoshana idadi ya point basi hivi ndio vigezo vitavyoangaliwa kuamua nani apite nani abaki.

1. Idadi ya point zilizokusanywa baina ya hizo timu mbili zilipokutana

Ufafanuzi

Yanga alifungwa bao 3 na Cr Belarouzidad maana yake mechi hiyo Cr Belarouzidad alipata point 3

Halafu Yanga kama mechi yake na Cr Belarouzidad ya marudio akatoa sare basi hiyo tu itatosha kuamua Cr Belarouzidad apite

2. Utofauti wa goli bora lililofungwa baina ya hizo timu mbili zilipokutana.

Ufafanuzi

Ikitokea Yanga kashinda kwa penati dhidi ya Cr Belarouzidad na kule Algeria kulipatikana goli zuri maana yake safari ya Yanga inaishia hapo.

3. Idadi ya magoli ambayo hizo timu zilipata zikiwa away zilipokutana.

Ufafanuzi

Yani ikiwa Yanga atamfunga 10-1 Cr Belarouzidad basi Yanga atakuwa ameondolewa kwakua hakupata bao lolote ugenini.

Na hata ikitokea kuwa ameshinda kwa clean sheet basi idadi ya mabao itaangaliwa. Kama itaonekana Yanga kashinda goli above 3 atapita lakini below hatopita

Hii ndio sababu watu walikuwa wanajiuliza kwanini Benchika aweke mabeki saba. Sababu ilikuwa ndio hii kuwa Wydad wangepata bao halafu huko mbeleni tungefungana kwa point basi tungekuwa tumetolewa.

4. Ikiwa hayo yote ya juu hayatoamua kupitisha mshindi basi kigezo cha idadi ya magoli yote yaliyofungwa kwa jumla ya mechi zote za makundi kitaamua yupi wa kupita.

Ufafanuzi

Hapa sasa ni baada ya criteria namba 1,2,&3 kushindwa kuamua yani timu zote mbili zilingane kila kitu kwenye hizo criteria (kitu ambacho sio rahisi) ndio hapo kigezo cha kufunga mabao mengi kwa jumla ya mechi zote ndio kitazingatiwa.
 
Unajieleza sana embu tulia wewe na madeama nani ni Bora
20231216_224337.jpg
 
Huyo domokaya tusha mzoea kila kitu anajua
Usikubali kuingizwa chaka na Gongowazi mwenzako

You always depend on us kwenye hivi vitu.

We endelea kushangilia goli la Pacome kwa mpira uliomgonga ila huku utapwaya sana
 
Back
Top Bottom