FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Msyuuuu...mbona unanichagulia betting yangu??
Yanga ikimfunga Simba naacha ushabiki..najua hii utaona haina impact kwenu ila kwangu kuacha kushabikia timu yangu itakua maumivu makali mnoo..nakuahidi...
Una ubavu huo?
 
Unahamu ya Kupigwa tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Irudiweee mlimpiga nani nyie walozi? Hivi unaona ile mechi ilikua kawaida ee..hahahah yani zile video za ushirikina mnajifanya hamzioni eee...
Zitarudiwa kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…