FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Tuachane na hayo yote, tujadili hiyo angle VIP C!
Kumbe na wewe ni kama mimi? Nisipochukua tiketi ya VIP A basi ni C, kuna view nzuri mnooo ya uwanja.
Exactly!
Sasa mimi nitachelewa.
Kindly reserve a position for me hata kama ni next u. Sitakucheka sana
 
Kwa first leg nilichokiona sitaki kuamini eti yanga leo atakuwa anajipigia hivyo itoshe kusema draw yaweza kuwa lakini pia kupigwa kunaweza kutokea .

Ila kwa muumba wangu ni yanga yamkute ya kumkuta .

Nenda Medeama mimi ni mghana toka zamani sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom