Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
benchika anahatarisha usalama wa taifa maana yanga ni ya wananchi[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Gamond atafurushwaa? Uwiiiiih
Aya...Ila Leo mtani nakuombea mabaya[emoji3][emoji3] achana na lile liaidi lako lingine basi na wewe.
Mana huwa nakutag hadi nachoka. [emoji854][emoji854]
Rizika na ulichokipata ukiendelea mbele utatupa aibu ya Karne[emoji16]Ndio ila hata tukisogea mbele zaidi sio mbaya eti.
Exactly!Tuachane na hayo yote, tujadili hiyo angle VIP C!
Kumbe na wewe ni kama mimi? Nisipochukua tiketi ya VIP A basi ni C, kuna view nzuri mnooo ya uwanja.
Kama Madeama wanaweza kupiga hata 6 wapige tufurahimwasibu upo? leo atakushangaza.
Nielewe Mimi nakwambia Gemu ni saa 1 Usikuuuu. Huyo mwandishi kachapia muda tuuUnaumwa ugonjwa wa akiliView attachment 2847830
Tutashinda huu mchezo Inshallah!!Pamoja na gubu lao wakishinda lakini kiuzalendo zaidi naitakia Yanga ushindi wa 1-0
Sent using Jamii Forums mobile app
Akukome kabisa huyo nguruwwee porHebu nijie taratibuu wee baba, umevurugwaa? Una stress?
Unikomee, mbwaaa wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namnaAcha Yanga apigwe tu