FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Offtarget ya aziz-K, kidogo iwe goli.
 
Mpira ulivyoanza tu unaonyesha Yanga anafungwa au droo. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Mpaka sasa bado utulivu umekosekana kidogo
 
Lakini pia matumizi ya hovyo ya hela kwenye mambo ya kijinga BOT wamekataza.

Kutengenezea mashada hela au hiyo hela kuibetia Yanga now ni ni marufuku kwa mujibu wa BOT.

Sio mimi naongea ni BOT wenyewe mi nimefanya kunukuu tu.
Lakini pia matumizi ya hovyo ya hela kwenye mambo ya kijinga BOT wamekataza.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom