Unateseka ukiwa wapi mkurugenzi? Yanga mpaka muda huu amefungwa mara moja tu, na Ihefu! Halafu unaleta story gani tena!!!TFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.
Tunaendelea tulipo ishia.Mtapigwa kama mbwaaa nawaambia nyie vyura...hao kagera hwana timu hao ingekua Simba ingewabamiza 7
Watarogaaaa[emoji23]Watu watachapika jumamosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41]
Nawewe kwa kupenda vibovu tu haujamboMakolo msilete team weekend haki Tena nawaambia [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikosa timu kabisa. Ila hiyo inatoa picha hali ya ligi yetu ilivyo.Uto Ina wachezaji wa class ya kawaida sana. Imagine Mudhathir kutokea mitaani alipoingia moja kwenye kikosi cha kwanza cha Uto
😂😂😂Nawewe kwa kupenda vibovu tu haujambo
Ndio uache visingizio kama ni rahisi muulize bokoUkiniambia ni stroker gani katika ligi hii tangu tuuanze mwaka 2023 katika michezo yote amefunga mabao 14
Ili kauli yako iwe sahibi basi jibu linatakiwa awe huyo striker wako ambaye hatakiwi kushindanishwa
Hata Uchawi hawatuzidi now 😂😂😂🤣Watarogaaaa[emoji23]
Bocco hana usemiNdio uache visingizio kama ni rahisi muulize boko
Penalty hata mimi nafungaMaster [emoji360][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] hat trick
Yani wewe dada unateseka hatari vipi watoto wamekula?Timu za chini huku yenye ushindani ni Ihefu pekee hao wengine ni waganga njaa
Hayaaa usiseme sijakwambiaa hii wiki nzima nimesikia hamna kulala[emoji23][emoji23]Hata Uchawi hawatuzidi now [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sad sad
Leo naona ilipangwa kumng'arisha mchezaji tuliyemsajili kwa gharama kubwa ila kiwango kikiwa chini ili kupunguza maneno dhidi yake
ClassClassic is permanent
Baba bulubendi kwani wewe timu gani?Watu watachapika jumamosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41]