Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Unateseka ukiwa wapi mkurugenzi? Yanga mpaka muda huu amefungwa mara moja tu, na Ihefu! Halafu unaleta story gani tena!!!TFF ichunguze upangaji wa matokeo, leo Kagera Sugar wanacheza mpira legelege kabisa.