FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Mtapigwa kama mbwaaa nawaambia nyie vyura...hao kagera hwana timu hao ingekua Simba ingewabamiza 7
Tunaendelea tulipo ishia.
Screenshot_20230411_164322_Photos.jpg

Tulishia kwa Mayele na Kijiji chake.
 
Ukiniambia ni stroker gani katika ligi hii tangu tuuanze mwaka 2023 katika michezo yote amefunga mabao 14

Ili kauli yako iwe sahibi basi jibu linatakiwa awe huyo striker wako ambaye hatakiwi kushindanishwa
Ndio uache visingizio kama ni rahisi muulize boko
 
Back
Top Bottom