FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Hawa zolan mtani atajipigia tu, aanze kujiandaa na st George vs al hilal ni aheri apite st George ila yule hilal namuhofia..

Natamani tz kwa mara ya kwanza tupeleke timu 2 makundi champions league
Na kule chini azam nae afike makundi
Itapendeza saana
Wana kipa mzuri sana
 
Mechi kama hii Mayele alipaswa afunge hata goli tano peke yake (home&away)
 
Back
Top Bottom