FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

Kocha Nabi ikikupendeza mtoe Ambundo halafu nafasi yake aingie Herritier Nakambo ili timu itengeneze nafasi nyingi zaidi za kufunga.

Line 1 amezingua! Goli la Mayele lilikuwa ni goli halali kabisa.
Wewe ni zaidi Mgunda🤣🤣🤣
 
hawa Zalan wamefika jana saa tano,leo hii wapo uwanjani awana cha kuzoea mazingira wala kufanya mazoezi.
Na hiyo saa 5 ni airport, kufika mpaka hotelini saa 7, mpaka wamekula saa 9.

Wachezaji wamelala hadi saa 6 mchana, wakapiga danadana mbilimbili muda wa lunch ukawa umefika

Wamemaliza kula wakakuta gari ya kuwabeba wachezaji kuwapeleka uwanjani isha wasili
 
Inaonekana zalani A wamewaheshimu tu Zalan B ila wakifunguka wale wnapata goal
Kinachowaangusha zalan ni uchovu maana wamefika jana usiku saa 6 na leo wanakipiga ila wana team nzuri sana wale jamaa mechi ya pili itakuwa wameshapoa na uchovu hapo ndo kutakuwa na mpira.
 
Anataka ustaa kwenye mechi muhimu?

Yanga waondokane na hiyo dhana, nakumbuka hata kwenye mechi ya Azam kipimdi cha kwanza walikuwa wana spirit hiyo.

Alianza Azizi ki, yuko katika eneo la kati sehemu ya kutoa pasi ye kafumua shuti la mbali mpira ukatoka nje ikawa goal kick

Akafuata Mayele naye hivyo hivyo mpira ukaenda nje

Akaja Nkane naye hivyo hivyo

Kipindi cha pili walikuja kusawazisha makosa yao na zile tamaa zao wakaziacha na kweli matokeo wakapata
Walipata wapi ni feisal tu aliamua kuwasaidia ila yanga kimataifa mwisho ni zanzibar tu
 
Back
Top Bottom